Je, Japan inajua alipo Rachel Dangwa?

Watakuwa wamelipwa pesa ndefu sana sana
 
Ukichuja matusi yake yule dada alikuwa mchimbaji wa mambo ya ndani yanayojiri na yamejiri na kudhihirika. Matusi yake si ishu yachukuliwe kama vichekesho tu, aliyokuwa akiyachimbua ni mambo mazito yenye mantiki kihojaji
Sidhani kama yuko hai na kama kafa hata mwili wake inawezekana usipatikane milele
 
Kwa hiyo tuseme ni majasusi yamemfuatilia huko mbali kwenda kummaliza au ni majasusi ya kijapan ndiyo yamemmaliza? Maana mtu wa kawaida hawezi kujigharamia kwenda kummaliza huko wakati hana bifu naye.
 
Rachel Dangwa (Recho) amerudi rasmi mtandaoni tarehe 16 Oktoba 2026 kupitia video aliyorekodi akithibitisha kuwa yuko salama na amepona kufuatia kipindi chote alichokuwa amelazwa hospitalini Japani, huku akikanusha uvumi uliosambaa kuwa amefariki au kudhurika.

Kilichojiri na Hali Halisi
  • Kutoweka na Hali ya Afya: Mnamo Agosti na Septemba 2026, wanaharakati wenzake akiwemo Maria Sarungi walitangaza tahadhari mitandaoni kufuatia kutoweka kwake ghafla nchini Japani na simu zake kutopatikana, hali iliyoibua hofu kubwa ya usalama. Sasa imebainika alikuwa anapambana na changamoto za kiafya akiwa amelazwa hospitalini.
  • Kurejea kwa Kishindo: Kupitia ujumbe wake mpya, amewaondoa hofu wafuasi wake na kueleza kuwa "moto ni ulele na utakuwa mara kumi yake," akiwashukuru wote waliomwombea na kufuatilia hali yake.
  • Mwitikio wa Mitandao: Kurudi kwake kumeibua shangwe na mzaha kidogo kutoka kwa wafuasi na wachambuzi mitandaoni (kwa kauli mbiu kama "kazi mnayo" na "tunaanzia pale tulipoishia"), huku wengine wakimpa pole ya kuumwa
 
Troll JF alisema yupo mikono salama? Na atarudishwa nchini au kupotezwa mazima?
 

Yakuza Gang wameshafanya yao wakuu...msijisumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…