Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tuachane na ccm watanzania.Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe.
Tukumbuke Juzi alimtaka Lisu ajiunge CCM then Lisu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha kwamba ana nguvu.
Je, kuna haki ya siasa? Kama CCM wanaweza wanatuhumu, wakakamata na bila hata kutoa sababu wakasema achia; upo umuhimu wa sheria nchini?
Kuna kaukweliKama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe.
Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then Lissu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha kwamba ana nguvu.
Je, kuna haki ya siasa? Kama CCM wanaweza wanatuhumu, wakakamata na bila hata kutoa sababu wakasema achia; upo umuhimu wa sheria nchini?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA