Ndugu wanabodi,
Kama wengine nimesoma hotuba yote ya Rais wetu juzi, na nimeelewa kwamba Muswada utarudi bungeni.
Lakini sijaelewa kitakachoendelea.
Je, utarudi bungeni kwa sura ipi?
1: Je, ataurudisha baada ya kuusaini (assent) kuwa sheria?
2: Je, ataurudisha bila signature yake iliyoufanya uwe sheria ili ujadiliwe upya?
Jadili kusaidia kutafakari.