johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndugai ni spika mpaka apatikane spika mpya baada ya Uchaguzi Mkuu !
Vijana muwe mnafuatilia vitu hivi km mnandoto za kuwa viongozi
Kama Mwambe amemaliza akiwa mbunge, basi na yeye bado ni Spika... Stupid Lawlessness shithole country!Job Ndugai amehudhuria sherehe za kuvunjwa kwa Baraxa la Wawakilishi kilikofanywa na Rais wa Zanzibar mh Sheim.
Ndugai alikuwa amevalia Joho la Spika wa bunge la JMT kama alivyoonekana kupitia luninga ya ITV.
Je, baada ya bunge kuvunjwa Job Ndugai anaendelea kutambulika kama Spika?
Maendeleo hayana vyama!

!wambie huyo dogo!Mtoa mada kasoma na mzee mgaya bado unamuita kijana ? Wewe L7 unapoteza mwelekeo
Job Ndugai amehudhuria sherehe za kuvunjwa kwa Baraxa la Wawakilishi kilikofanywa na Rais wa Zanzibar mh Sheim.
Ndugai alikuwa amevalia Joho la Spika wa bunge la JMT kama alivyoonekana kupitia luninga ya ITV.
Je, baada ya bunge kuvunjwa Job Ndugai anaendelea kutambulika kama Spika?
Maendeleo hayana vyama!
Kuna haja ya kubadilishwa Katiba, mawaziri wasiwe wabunge ili watu wengine wapate kazi au raia mnaonaje?Rais
Makamo Rais
Waziri mkuu
Mawaziri
Spika
Bado wapo mzigoni.
Sent using Fly in any Weather.
Marekebisho yanahitaika kwa kweliAisee sheria zina mkanganyiko.
Kwa Sasa tunamtambua kama Spika Wa Bunge lipi lililopo?