Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

Brox

Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
6
Reaction score
7
Habar wakuu.

Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
 
Sio vyote vingine vinawez kuwa Sassoon na vingine pure kienyeji.

Tafuta kuku wa Malawi maana hawa wanalalia na wanataga hatari
Shukran na hao wa malawi wanauzwaje
 
Sio vyote vingine vinawez kuwa Sassoon na vingine pure kienyeji.

Tafuta kuku wa Malawi maana hawa wanalalia na wanataga hatari
Nipo Ngara Kagera.
Nitawapataje?
 
Sio vyote vingine vinawez kuwa Sassoon na vingine pure kienyeji.

Tafuta kuku wa Malawi maana hawa wanalalia na wanataga hatari
Umenikumbusha mbali kuhusu Kuku wa Malawi ni weusi hivi, Mze wangu aliwafuga 20 Kijijini yaani walikuwa wanazaliana ni balaa.
 
Back
Top Bottom