Moja kati ya michezo ya soka unao subiriwa na watu wengi ni mchezo kati ya Man United dhidi ya Arsenal utakaochezwa leo katika uwanja wa Old Trafford, huu ni mchezo unaomkutanisha Jose Mourinho na Arsene Wenger.
Historia yao
Je, Jose Mourihno ataendeleza Utabe wake kwa Arsen Wenger