Hajafa sasa (ICU)!n upuuz sherehe unaweza kui reschedule ila c ugonjwa au msiba! Ingekuwa unataka fanya mitihan final thn unatokea msiba unaweza kuendelea na paper thn ukaja kulia mbelen wkt ushajenga future ila harus tena hyo michango menu na bia napeleka msibani.
Hajafa sasa (ICU)!
Hapa harusi inapigwa tuMkuu ugonjwa ni zaidi ya sherehe aise
Kuna watu washafanya kila kitu wanasubiri hivyo na msiba ukatokea ambapo mwanafamilia mmoja akafariki
Kila kitu kilisimama mkuu kupisha msiba
Msiba au ugoonjwa ni kitu kingine
Mama yuko ICU na wewe unaserebuka ukumbini hata nyani watakuona hamnazo aise
Hapa harusi inapigwa tu
Itategemea na mtazamo wangu na mtazamowangu hauwezi kuwakilisha mawzo ya wanajF ukae ukijua.Mkuu nikuulize
Samahani kama nitakukwaza
Ni mama yako mzazi wewe bwana harusi ndio yuko ICU anaumwa
Kweli utakuwa na nguvu za kukaa pale mbele unatabasamu na kucheka wakati unajua hali ya mama kule sio nzuri
Sidhani hata hizo nguvu za kusherehekea utakuwa nazo
Itategemea na mtazamo wangu na mtazamowangu hauwezi kuwakilisha mawzo ya wanajF ukae ukijua.
kila mmoja anajua anaamini vipi ndiyo maana wengiwetu wanasema itafanyika kimya kimya!Ila ngoja nikuulize swali hivi ukifanya hiyo harusi kwakuwaelezea watu ndoa hii itakuwa nifupi kwa sababu iliyoko nje ya uwezo wetu kwamba tumepata taarifa Mama mzaa bwana harusi kakimbizwa Hospital hivyo tunasikitika baadhi ya matendo hayatafanyikwa utaratibu uliozoeleka kitakachofanyika ni kula keki na kula nakuleta zawadi na ndo mwisho wa harusi je itakuwaje??Yeah I accept that
Msimamo wangu ni tofauti sana aise
Mkuu hapo nitakuwa nakusemea ila msimamo wangu ni huo hakuna sherehe aise wakati nina mgonjwa yuko ICU
Hajafa sasa (ICU)!
Ikitokea katika familia yenu mkabahatika kuoza na sendoff ikafanyika lakini ijumaa ambapo kesho yake Jumamosi ndiyo harusi ukaambiwa mama wa Bwana harusi anaumwa yupo katika koma(ICU) Je kama wanafamilia yawapasa mfanyeje ukizingatia upande wa bibi harusi wao wameisha fanya sendoff!!Kilichokuwa kikisubiriwa ni Harusi!!