Magufuli huko nje wanamjua vizuri. Watambana kiuchumi. Ni wasomi uchwara tu kama kina prof. Lumumba, waliokuwa wanaota ndoto za "Magufulification of Africa". Sasa Corona tu imemuumbuaKalamu1, ajabu ni kwamba wakati haya yanatokea, Rais kaikimbia ikulu na kwenda kujificha kusikojulikana. Hii kwa lugha ya kitaalam ni abdication of duty na kitendo hicho sijui kinachukuliwaje huko nje.
mimi niliona hiyo taarifa Trump alimkejeli sana Xi mwanzoni akamwambia hongera sana kwa kupambana na Chinese virus and flu!! hakujua Corona virus ilikuwa tayari iko US! Alichofanya ni kumwangushia jumba bovu Dr Tedros baada ya kuzidiwa na vifo! Leo niliona DW akiombewa na watu wengi weusi huku wamemshika mabega! ngoma nzito huko US!!JokaKuu anayemfanyia figisu Dr. Tedros ni kichaa moja tu, Donald Trump na Wamarekani walio wengi hawamuungi mkono. Kumbuka ushahidi upo kwamba awali Trump alimsifia sana Rais wa China. Ili kujinusuru ndio akamrukia Dr. Tedros.
Sisi tutaanza kuwajibishwa na majirani zetu kwanza, tena wataanza kututenga.
Tulijigamba kwamba sisi tunategemewa na majirani nane, kwa hiyo hatuwezi kufunga mipaka yetu. Sasa wameanza wao kukataa madereva wetu kwenda kwao. Kama haukuwa unafiki kujigamba kuwa tunategemewa, na sasa hao hao tuliowasemea wanatusuta, itakuwa ni kitu gani hicho.
Kimataifa kiujumla, tukizidiwa sana, mataifa hayatuacha tuangamie kabisa. Watatuokota na kutunywesha uji hata kama ni kwa lazima.
Ila huu utawala uliochanganyikiwa kabisa unaweza ukalazimishwa kukaa pembeni ikiwa kama sharti la uji huo.
Litakuwa jukumu letu kama nchi, baada ya hapo kuamua ni nini kifanyike kwao kutokana na uchafuzi huu wanaolifanyia taifa letu.
Naona kama 'meltdown' inawaandama kiasi cha kuchanganyikiwa wasijue wafanye nini wakati mambo yakizidi kubomoka.
Hata huo uchumi waliodhani wanaulinda kwa maamuzi yao ya ajabu, hawaonyeshi kufanya wala kusema chochote juu yake. Wamebaki tu kumwachia Mungu kwa zile sala walizohimiza.
Je, Mungu amezikataa sala zao?
Sijui unaongelea swali gani ndugu yangu ila kwa kukumbushia tu swali liko hivi...Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?Waulize swali hilo China na North Korea /
Huyo unayebishana naye ni mla kitimoto , Je uko tayari kuendelea na ubishi ? 😆😆😆😆Kila mkoa tuna Ikulu na mikoa mingine zaidi ya Ikulu moja.
Ikulu maana yake ni "anapoikala Mkuu" siyo "particular location".
Vipi Mbowe yupo Ufipa?
Kwanza huijui C-19 ndio maana umeandika hili bandiko!Halafu tunawajibishwa na nani huyu?Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo.
Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kutengwa na hata kushtakiwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu mlipuko hatari kama huu wa COVID-19.
Je, katika hali kama hii Tanzania itapona?
Kila mtu anajisuta mwenyewe kwa chaka walilotuingiza 2015 , wanaona aibu hata kujitokeza hadharani
Mkuu usiogope sana,hii kitu sio serious kama inavyokuwa portrayed kwenye mainstream media,there is so much deception and misinformation. Hebu sikiliza clip ifuatayo.NWO wana nia mbaya na sisi,tunapo kuwa kwenye hali ya mashaka na kuogopa sana,wao ndio mtaji wao.Ni lazima tuutafute ukweli ili wasiweze kutudanganya.Mambo mengi wanayotuambia NWO ni uongo.Mungu tunusuru na huu mkono wa ibirisi
Among the most belligerent quacks in the States, Dr. Buttar is a medical doctor who, apart from his genuine qualifications, espouses a line of treatment for autism that is as bereft of scientific rigor as transcommunication.
Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo.
Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kutengwa na hata kushtakiwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu mlipuko hatari kama huu wa COVID-19.
Je, katika hali kama hii Tanzania itapona?
Unielewe,sijasema Corona haipo!The problem is there,it is the hystreria created by the mainstream media that is a problem and wrong.They are creating too much fear to the populace which is itself a problem.Dr.Buttar kuwa ridiculed in the West is understandable, wao wana agenda zao ovu which Dr.Buttar exposes.Na mbona sio yeye tu,wengi wamekuwa ridiculed na hata kuuwawa.Hizi after all ndizo tactics the Deep State uses: ridicule and murder,so I am not surprised at your extreme reaction.You are probably an agent of the Deep State or NWO.Among the most belligerent quacks in the States, Dr. Buttar is a medical doctor who, apart from his genuine qualifications, espouses a line of treatment for autism that is as bereft of scientific rigor as transcommunication.
Buttar has been under investigation by the North Carolina State Medical Board for a decade and for a variety of misconducts involving "unconventional treatments" to which he subjects autistic children and cancer patients - all for lots of money to line his pockets. He views the medical board, in his own words, as a "rabid dog."
Ultimately, the medical board has recommended restricting Dr. Buttar's license to prohibit him from treating children or patients with cancer. That hasn’t stopped him (discussed here; for a more neutral assessment go here).
Among his more famous autism treatments is the transdermal chelation cream (a.k.a. “Buttar’s butter”). He has been known to come up with some truly bizarre protocols to treat autism, with rumors that Dr. Buttar's armamentarium of woo even included urine injections to "boost the immune system". Of course the fees are exorbitant.
His cancer quackery is even worse, and Buttar has apparently said that ”it didn't matter what kind of cancer anybody had, he could cure it."
And yes, it is there, all of it: Buttar believes most patients with cancer also have high levels of heavy metals, such as mercury, and other toxins, such as pesticides, because of environmental exposure”. His treatments include chelation, ozone therapy and hyperbaric oxygen chambers – dangerous, potentially lethal devices or regimes with not the slightest trace of evidential support for any claims to efficacy. He even has an AirEnergy Machine.
Btw, his website prominently displays the following quote: "All truth passes through 3 phases: First, it is ridiculed. Second, it is violently opposed, and Third, it is accepted as self-evident."
Anyone who uses this quote as support for his or her ideas is a seriously delusional crackpot. That’s a law.
Unakimbizwa?Hebu tulia andika vyema.Nani alikwambia usimfaye mtaalamu wako umpendae?
Hivi ukoo WA Mbowe waliokuwa hawafati wataalam hangs lilipowakumba na mkuu wa mkoanwa Far qkajankutuwekea wazi?
Kujifusha na majiusi ya malimao na tangawizi tuwachie sisi. Wewe fata mtaalam umjuaye. Ulizuiliwa?
Unataka takwimu za nini?
We are not sure lakini kwasababu ni serikali yetu nafikiri tuwaamini walichotoa or else kuna taarifa tofauti. Pia ungetupa mfano wa nchi zilizotoa taarifa sahihi. To your surpirse, waweza kukuta pia taarifa zao zinapingwa na wananchi wao pia.Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo.
Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kutengwa na hata kushtakiwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu mlipuko hatari kama huu wa COVID-19.
Je, katika hali kama hii Tanzania itapona?
Afya ya akili ya bi faiza imetetereka,Aina budi kumpuuza.Kila mkoa tuna Ikulu na mikoa mingine zaidi ya Ikulu moja.
Ikulu maana yake ni "anapoikala Mkuu" siyo "particular location".
Vipi Mbowe yupo Ufipa?
Hatahivyo, waweza kuishitaki China just coz of taarifa za Corona haziko sawa au Corona yenyewe. Lakini pia hata sisi Africa kama tupo serious au makini twaweza kuwashitaki pia nchi tajiri waliotupeleka utumwani - slavely in Africa. Watu wengi walikufa katika kupelekwa kutufanyisha kazi ngumu America , Germany etc.Possibility ya kutengwa au kushtakiwa ni kubwa
Ni sawa na watu wanavyotaka kuishtaki Wuhan au China kwa ujumla kwa kosa la kutokutoa taarifa
Ni sawa na murder
Tujipe muda na wakati