Tukio la kamatakamta la CHADEMA limetikisa nchi na kumchafua mama. Watu wameingiwa na hofu kuhusu uchaguzi ujao, je tufanye nini sasa?
Polisi lazima waangalie upya utendaji wao, wafanye kazi kwa weredi vinginevyo kwa tabia ya watanzania wanachukizwa sana na upendeleo wa chama kimoja. Hii ni kugombanisha Rais na wananchi na ku promote CHADEMA bila sababu. Ebu badilikeni.
Soma Pia
Tunakuomba Rais ulipitie Jeshi na mfumo wake ufanyie marekebisho kwa mujibu wa Tume ya Haki Jinai. Wananchi wana hasira na vitendo vya baadhi ya polisi wetu.