jamani mimi nataka kujiunga na chuo cha kampala international university kwa kozi ya Master in Business Administration kwani hicho chuo kimefungua tawi lake pale dar-es-salaam, je chuo hiki kinatambulika na mamlaka husika(TCU) nisije poteza pesa zangu bure,ni muda mrefu tumesikia ni feki,je kuna ukweli wowote
wajameni nipeni data za chuo hiki