Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
Habari, Naamini Kupitia uzi huu watu wengi Sana tutakwenda kunufaika Kupitia majibu yatakayotolewa katika swali langu:
Naamini kwa wakaazi wengi wa Arusha -Moshi, Zanzibar watakuwa ni shahidi wa hili, Tumekuwa tukiona watalii wanaongezeka au hata kupishana nao wakiwa katika magari yao au Historical sites na beaches lakini swali gumu ambalo najiuliza kila siku, Je hao watalii wanapatikana vipi?
Yaani Kampuni za Utalii wanawapata wapi wale wageni/Watalii.
Naomba Sana mwenye uelewa katika hili atupe ujuzi na Sisi.
NB) Kenyans Naomba mutupe madini