Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
#NondoYani somo la wana pata wapi watalii ni gumu sana kuelezea moja kwa moja lina mambo mengi sana, ila ku highlight kwa mbali ni kama hivi
1.Refferals, hapa wageni wako wa zamani wanaenda kutoa contact zako kwa wenzao pindi watakapo taka kuja huku wana kutafuta moja kwa moja. Na hapa si lazima wageni tu hata hawa ma volunteers, unaweza pata marafiki ambao ni ma foreigners ukaweza kujitangaza na wakafanya design hii ga marketing.
2.Online marketing, hapa ni kuwa na website na possibly online account zote bila kusahau kuwa na account kwenye platforms mbali mbali ambapo wazungu hupenda kuuliza degails za safari pindi wakitaka kuja na most of them wanakua hawaja chagua companies za kuwaleta huku mfano Reddit, Linkedin quora na website zingine kibao za utalii. Ukiwa active huko lazima upate pate na ujue kucheza na utundu wa ku direct traffic kwenye online account zako na website kwa ujumla.
3.Kuingia ubia na tour agency za nje. Hii ndo the most successful method kwa upeo wangu. Ukiwa na ubia na agency za kukuletea wageni basi probability yako ya kupata watalii ni kubwa zaidi ila kubali ku split hela itakayo patikana so ili faida iwe kubwa ni lazima upate wageni wengi na hovo basi gharama inakua kubwa zaidi na ndo maana makampuni makubwa yana succeed zaidi hapa kwa sababu mtaji upo!
Hizo ni njia common ninazo zifahamu zilizo direct ila kuna njia kibao wenye kazi yao wanajua namna ya kuchukua wageni.
Wazungu wanawaamini sana wazungu wenzao, ukipata Agency ya kukuletea wageni umewin.Habari, Naamini Kupitia uzi huu watu wengi Sana tutakwenda kunufaika Kupitia majibu yatakayotolewa katika swali langu:
Naamini kwa wakaazi wengi wa Arusha -Moshi, Zanzibar watakuwa ni shahidi wa hili, Tumekuwa tukiona watalii wanaongezeka au hata kupishana nao wakiwa katika magari yao au Historical sites na beaches lakini swali gumu ambalo najiuliza kila siku, Je hao watalii wanapatikana vipi?
Yaani Kampuni za Utalii wanawapata wapi wale wageni/Watalii.
Naomba Sana mwenye uelewa katika hili atupe ujuzi na Sisi.
NB) Kenyans Naomba mutupe madini
View attachment 2542183