Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

nenda peke yako, siku ya hukumu utakuwa peke yako
guys, natamani kwenda kwenye mahubiri ya mwakasege
kesho,kwa yeyote aliyepo mwanza ambaye kesho ataenda kwenye semina,anijulishe tupeane kampani.
 
haaa kumbe yupo Mwanza na siku akija DSM,Utuambie hapa jukwaani,huko mwanza atasema ratiba zake kwa mwaka huu so utujulishe bana......nenda ukavune busara huko,na mchumba utapata.....
 
usijali ntawajulisha,leo tumeombewa wadada na wakaka ambao hatujaolewa mapepo yamelipukaje!soon tunaenda kupiga vigelegele,mwaka hauishi.nimewaombea wakaka na wadada wa jf pia.
 
dah,siku ile sijui tumechengana wapi asee,nikaja hadi pale furahisha sioni mtu,au ulipata kampani ewe mwanakondoo ukaamue kuniacha?.
 
hahahah,we acha tu,sijui tulichenganaje!leo ulikuwepo?kesho twende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…