Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Tazama kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza, juu ya majeshi na pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
 
Taka usitake mwakasege ni mtumishi wa Mungu,unayempinga ni sawa na unampinga Mungu maana yeye tunamfahamu kwa kuwa mwalimu wa neno la Mungu.
 
Mungu haiandikwi kwa herufi ndogo author jirekebishe ukiandika Mungu kwa herufi ndogo unamaanisha miungu hata Biblia imetofautisha haya.
 
Arusha.

Ni maombi au kitu kingine? Mpeleke mgonjwa wako kwa kakobe au mzee wa hammer pale ubungo chaibora-nyumba ya ufufuo na uzima


Nina mashaka na hapo unaposema kitu kingine kwani unanifanya niamini kuwa wale wazungu wa unga (kina Kakobe, Rwakatare, Mwingira) wayafanyayo nyuma ya pazia ni kweli.
 
Tazama kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza, juu ya majeshi na pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

....daah lugha zenu Wagalatia zina utata, kama ule wa kumuua mwana pekee !
:noidea:
 


hii bold, una andiko au ni ubunifu tuu ??:bored:
 
wooooote ni walewale binafsi mtu ninayemkubali ni FR. DR TITUS AMIGU MTAALAMU WA BIBLIA KUTOKA PERAMIHO SEMINARY

Sasa si woooote wale wale bana? Au? Usijichanganye basi
 
Kwasasa yupo Arusha viwanja vya Reli, alianza Jumapili na leo Alhamisi Agosti 30 ni siku ya 5, atamaliza siku 8 Jumapili Septemba Mosi.
 

Aisee majitu mengine we yaache tuyalivo usijekufa kwa presha
 

...........ila kuna bahasha zinatembea kwa hadhira na namba za Mpesa.
 

mwakasege kama walivyo waubiri wowote wale, anachanganya mawazo yake au falsafa zake na mafundisho ya dini....result===FRAUD..catholic is the truth..
 
Kasome Waefeso 1:5. Ally nimeipenda hii ya kutaka andiko. Kumbe unajua kuwa kila kitu kinathibitishwa na andiko. Mungu akubariki.
[/B]

hii bold, una andiko au ni ubunifu tuu ??:bored:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…