Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
We Unadhani we are not great thinkers kwa sababu hukubaliani na sisi ?Ahahaaaa! Great thinkers bana. Ndo maana nawakubali sana. Mpeleke mgonjwa wako hospital mkuu.
Huyu mwakasege mwenyewe semina zake hadi ulipie kiingilio. Style mpya tu ameamua kuwa mgombea binafsi afungamani na upande wowpte. Sttategies bana.
Yo yo,mhh......nasikia mna kanisa lenu pale Ubungo mnafufua misukule.....
thank youuChristopher Mwakasege ni Mhubiri, hana kanisa analoongoza yeye, yeye pia ni muumini wa makanisa ya kikristo kama watu wengine.
Anazunguka Tanzania nzima na nje kufundisha Neno la Mungu.
Ana huduma inaitwa Mana, ina makao yake makuu Arusha.
Proffessionally C. Mwakasege in Mchumi na still anaendelea na kazi kama mchumi, but most of his time amededicate kwenye huduma ya Mana.
Hope umemfahamu kwa kiasi.
Ahahaaaa! Great thinkers bana. Ndo maana nawakubali sana. Mpeleke mgonjwa wako hospital mkuu.
Huyu mwakasege mwenyewe semina zake hadi ulipie kiingilio. Style mpya tu ameamua kuwa mgombea binafsi afungamani na upande wowpte. Sttategies bana.
Think man, think!!Hebu fafanua vizuri, lini na wapi Mwakasege amesema ulipe kiingilio. This week ana semina pale Biafra, unataka kuniambia kuwa viwanja vya Biafra watu wanalipa kiingilio. Hii naisikia kwako...!!! Unless una chuki binafsi kama hao wengine. Huyu jamaa ninachompendea, hafanyi matangazo ya kujipamba; na ukienda kwake kuombewa sometimes atakushauri uokoke kisha ujiombee mwenyewe; akimaanisha ni Mungu atakayekuponya au kukusaidia and not Mwakasege. Something which I like toka kwa huyu jamaa.
Mungu amsaidie na azidi kumwezesha kusimama imara katika kazi yake...!! Mungu naye atusaidie wooote, huku JF ili tusimame imara katika neno lake.
Na wewe ni mzaliwa wa kwanza?Kwa wale waliofauatilia mahubiri yaliyofanyika Biafra kuhusu MZALIWA WA KWANZA watakuwa walibarikiwa sana. Mimi niliguswa sana na mahubiri haya
Arusha.
Ni maombi au kitu kingine? Mpeleke mgonjwa wako kwa kakobe au mzee wa hammer pale ubungo chaibora-nyumba ya ufufuo na uzima
Ahahaaaa! Great thinkers bana. Ndo maana nawakubali sana. Mpeleke mgonjwa wako hospital mkuu.
Huyu mwakasege mwenyewe semina zake hadi ulipie kiingilio. Style mpya tu ameamua kuwa mgombea binafsi afungamani na upande wowpte. Sttategies bana.
I know this will sound rude but i'm gonna post it anyway, i personally think he is another fraud just like most of these so called "life-changing" preachers, but then we all have our own opinions on such matters.
Mwakasege anasali kanisa gani?[/QUOTE]
Lutheran.