Je kanzu ni vazi takatifu?

Je kanzu ni vazi takatifu?

JaffarMohammed

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
762
Reaction score
283
Manabii wote waliotangulia walivaa kanzu.

Halikadhalika kinamama na kinadada wema wote waliotangulia akiwepo bikra Maria walijistiri kwa vazi la heshima la hijabu.


Je vazi hili ni takatifu ? Na je kama ni takatifu kwanini hatulivai?
 
Halina utakatifu wowote, ni nguo ambayo ilipata kubuniwa mwanzo tu.
 
Kanzu ni vazi la asili la huko arabuni kama ilivyo rubega huko masaini. Hao waleta dini wangekuja wamevaa rubega ungekuta watu wanavaa rubega wakati wa kuabudu.
 
Back
Top Bottom