JaffarMohammed JF-Expert Member Joined Nov 13, 2016 Posts 762 Reaction score 283 Jan 20, 2017 #1 Manabii wote waliotangulia walivaa kanzu. Halikadhalika kinamama na kinadada wema wote waliotangulia akiwepo bikra Maria walijistiri kwa vazi la heshima la hijabu. Je vazi hili ni takatifu ? Na je kama ni takatifu kwanini hatulivai?
Manabii wote waliotangulia walivaa kanzu. Halikadhalika kinamama na kinadada wema wote waliotangulia akiwepo bikra Maria walijistiri kwa vazi la heshima la hijabu. Je vazi hili ni takatifu ? Na je kama ni takatifu kwanini hatulivai?
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Jan 21, 2017 #2 Halina utakatifu wowote, ni nguo ambayo ilipata kubuniwa mwanzo tu.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,553 Jan 21, 2017 #3 Kanzu ni km dera tu tofauti ni rangi na nakshi tu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
DUME SURUALI JF-Expert Member Joined Dec 8, 2016 Posts 782 Reaction score 1,084 Jan 21, 2017 #4 Kanzu ni kama Dera so hata club unaingia nalo2
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 4,672 Reaction score 9,806 Jan 22, 2017 #5 Kanzu ni vazi la asili la huko arabuni kama ilivyo rubega huko masaini. Hao waleta dini wangekuja wamevaa rubega ungekuta watu wanavaa rubega wakati wa kuabudu.
Kanzu ni vazi la asili la huko arabuni kama ilivyo rubega huko masaini. Hao waleta dini wangekuja wamevaa rubega ungekuta watu wanavaa rubega wakati wa kuabudu.