mambali Senior Member Joined Oct 16, 2012 Posts 170 Reaction score 64 May 14, 2014 #1 Wadau naomba kujuzwa hasa na wataalamu wa afya za binadamu, kuna bia aina mbili ambazo vizibo vyake vimefungashwa na makaratasi kuzunguka mdomo wa chupa. Je, karatasi hizo hazina madhara kwa watumiaji?
Wadau naomba kujuzwa hasa na wataalamu wa afya za binadamu, kuna bia aina mbili ambazo vizibo vyake vimefungashwa na makaratasi kuzunguka mdomo wa chupa. Je, karatasi hizo hazina madhara kwa watumiaji?
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,262 Reaction score 2,184 May 14, 2014 #2 bia yenyewe tu ina madhara