Huna haja ya kubadilisha Kaspersky. Ukipata matatizo yoyote uje uwaulize wadau hapa wakusaidie.
Kumbuka tu kwamba, kuwa na Antivirus kwenye computer yako haina maana kwamba virus hawawezi kabisa kuingia.
Ni vyema kuwa na mazoea ya ku-scan flash kila mara kabla ya kutumia iwapo uliitumia hiyo flash kwenye computer tofauti (ya kazini/shule/rafiki).