Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.
Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa oliyomuangukia hadi 2030.
Rais Samia Suluhu pia ikumbukwe hana kinyongo Cha kuwabadilisha watendaji wake mbalimbali serikalini. Hii imedhirishwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu waziri na Manaibu Makatibu kubaki walewale.
Hapa Sasa ndipo panapokuja uhakika wa Majaliwa kubaki waziri Mkuu wa muda mrefu ktk Historia ya JMT. Ni maono na mtazamo wangu.
according tu kura zilizopatikana hakumgaragaza. ila yeye ndio alipigwa chiniLazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Waziri Mkuu haendani na Uchaguzi Mkuu. Anabadilishwa wakati wo wote Rais akijisikia hivyo: iwe baada ya Uchaguzi Mkuu au katikati ya Awamu iliyoko madarakani.Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.
Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa oliyomuangukia hadi 2030.
Rais Samia Suluhu pia ikumbukwe hana kinyongo Cha kuwabadilisha watendaji wake mbalimbali serikalini. Hii imedhirishwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu waziri na Manaibu Makatibu kubaki walewale.
Hapa Sasa ndipo panapokuja uhakika wa Majaliwa kubaki Waziri Mkuu wa muda mrefu ktk Historia ya JMT. Ni maono na mtazamo wangu.
Majaliwa ... Rais ajaye???Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.
Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa oliyomuangukia hadi 2030.
Rais Samia Suluhu pia ikumbukwe hana kinyongo Cha kuwabadilisha watendaji wake mbalimbali serikalini. Hii imedhirishwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu waziri na Manaibu Makatibu kubaki walewale.
Hapa Sasa ndipo panapokuja uhakika wa Majaliwa kubaki Waziri Mkuu wa muda mrefu ktk Historia ya JMT. Ni maono na mtazamo wangu.
Acha wapange yao na Mungu ana mipango yake!Acheni ujinga basi......yaani ndio kwanza 2021 unamsemea mtu 2030,huyo mtu hawezi kustaafu,hawezi kutolewa kwenye hio nafasi,hawezi kujiuzulu,hawezi kufa?
Kuna uwezekano mkubwa akaendelea na wadhifa huo, labda astaafu siasa kwa hiari yake.2025 Majaliwa hachaguliwi uwaziri mkuu.
Sioni dalili ya Rais SSH kumuacha MajaliwaWaziri Mkuu haendani na Uchaguzi Mkuu. Anabadilishwa wakati wo wote Rais akijisikia hivyo: iwe baada ya Uchaguzi Mkuu au katikati ya Awamu iliyoko madarakani.
Asante sana mkuu kwa kunifanya nicheke mwenyewe.Kwani yeye majaliwa anasemaje

Huyu hata hii miaka 5 hamalizi,maza anamlia timing atamla kichwa so soonYawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.
Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa oliyomuangukia hadi 2030.
Rais Samia Suluhu pia ikumbukwe hana kinyongo Cha kuwabadilisha watendaji wake mbalimbali serikalini. Hii imedhirishwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu waziri na Manaibu Makatibu kubaki walewale.
Hapa Sasa ndipo panapokuja uhakika wa Majaliwa kubaki Waziri Mkuu wa muda mrefu ktk Historia ya JMT. Ni maono na mtazamo wangu.
πππAsante sana mkuu kwa kunifanya nicheke mwenyewe.
Madai yako hayana mashiko kwa sasa. Ngoja wakati ufike tutajuaYawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.