Je, kati ya binadamu na shetani ni nani mwenye dhambi zaidi?

Hahahahahah wewe umekengeuka wewe.matendo ndio option tuliyobaki nayo wanadamu kuuona ufalme wa Mungu! Jumapili njema
 
Hili swali gumu watu wanazurura tu!

Ngoja nitulie hapa nisubiri jibu kutoka kwa wachungaji mida yao kutoka ibadani inakaribia.
 


Kwamba matendo hayampeleki mtu mbinguni!!

Mbona tunaambiwa imani bila matendo ni kazi bure au nimesahau🙄
 
Hapana mleta Mada kauliza swali jepesi Sanaa.
Hakuna ugumu, mkikosa majibu nitawajibu kwa facts pamoja na Neno (Biblia)
Hahahaha [emoji23][emoji23] sijaona jibu lolote la maana zaidi ya bla! bla! Tu.
Mtoa mada usitegemee jibu la maana zaidi ya comedy na sarakasi hili swali lako ni gumu mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] n bla bla tuu sio
Swali ni kwa nini shetani alipata haki ya kukutana na Mungu wakati tunaamini yeye ndo mdhambi kuliko?? Kwa hyo unamaanisha shetani alikutana na Mungu kwa sababu anamuamini Mungu???
Hahahahahah wewe umekengeuka wewe.matendo ndio option tuliyobaki nayo wanadamu kuuona ufalme wa Mungu! Jumapili njema
Hili swali gumu watu wanazurura tu!

Ngoja nitulie hapa nisubiri jibu kutoka kwa wachungaji mida yao kutoka ibadani inakaribia.
 
Biblia imesema mpende adui yako....wakristo mnaweza kuniambia ni kiasi gani mnampenda shetani?
 
Binadamu ni hatari zaidi na mwenye dhambi kuliko shetani. Shetani anamtuma binadamu kuuwa nae anauwa kweli, bila hata huruma
 
CCM ndio mawakala wa shetani!/Super Agents
 
Hivyo Mungu anapokutana na shetani, shetani anakua anamuamini Mungu?
 
Ukifutilia Sana dini utagundua ni udanganyifu tu na biashara
 
Shetani anasingiziwa tuu.. shetani ni wewe na matendo yako tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…