Je? Kati ya umeme wa majumbani na umeme wa magari ni upi unalipa zaidi katika kujiajiri au kuajiriwa

Jnk official

Member
Joined
Nov 25, 2024
Posts
24
Reaction score
20
Habarini?

Nimekaa nikatafakari nikaona nivyema niende kusomea ufundi katika vyuo vya tena na kozi nayoipenda kwenda kusomea ni kozi ya umeme lakini nimekua na swali nijiulizalo pasipo kupata majibu kwamba kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni kozi gani nikisomea kozi ndefu inalipa vzur katka kuajiriwa/kujiajiri

Naomba wanaojua kuhusu hili mnipe muongozo tafadharini....🙏🙏🙏
 
Jifunze vyote kama utaweza
 
Vyote sawa ni Wewe tuu unajua jinsi Gani ya kucheza karata zako uraiani!
 
Hili swali ni sawa na mtu kuuliza kati ya Dr wa wanyama na Dr wa binadamu asomee kipi ili apate wateja wengi na malipo mazuri.
 
Umeme wa majumbani una fursa kubwa na nyingi kulipo wa magari. Ingawaje umeme wa magari unalipa vizuri .
Sikuhizi watu wanajitahidi kumiliki magari ambayo hayajachoka sana na hawapendi magari spana mkononi.
Ila umeme wa majumbani umetamalaki hadi vijijini nyumba za tope zinaunganishwa na umeme kupitia REA.
Ukiwa unalenga uwe unapata kipato kidogokidogo mara nyingi sehemu yeyote hata vijijini somea umeme wa majumbani, ila kama unataka malipo makubwa makubwa kwa mara chachechache maeneo ya mijini, somea umeme wa magari
 
kwani wamajumbani mjini hauna hela?
 
Wakagari, speaking from experience. Unaenda site na cutter, tape, tester, wire wa ziada, kipeg kidogo, mara magneto imekufa mara relay, a lot of. Kikubwa uwe vizuri na uaminifu.
 
Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu.
kama inavyosemeka kwa thread.
Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana sinto lala njaa kama nikibobea katika ufundi huo?

Kuhusu kiwango cha elimu nina elimu ya form four na nilipata four ya point 27.
Naomb wenye uelewa kuhusu hlo wanisaidie🙏🙏
Asanteni na karbuni.
 
Kwanza tujue kama una degree ya fani yoyote mpaka uulizie kazi za ufundi?
 
Na apo bado kuna mtu anamlipia ada mtoto wake mil 3 senti nani uko
 
Back
Top Bottom