Nimepitia rasimu ya katiba mpya 2013 sijaona ibara yenye kutamka HAKI ZA WANAUME wala WAGANE. Haki za binadamu zimetaja makundi mengi kama haki ya mtoto, haki za vijana, haki za wazee, haki za wanawake(na wajane) na makundi mengine. Lakini wanaume naona kama wamebaguliwa au ndio tuseme katiba ijayo ni ya mfumo hakuna haki za wanaume?