donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salam wakuu,
Naomba kuuliza kwa wataalam wa Sheria, je katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates. Kwa mfano nchi ya USA majimbo kama California, Connecticut, Mississippi, New Mexico, new York na Washington wanaruhusu conjugal visits kwa inmates.