johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha urongo bwashee 12m p/m?!Dr. Slaa alikua analamba 12m kila mwezi, alipewa nyumba na gari mbali na mambo mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa bwashee hata ikitokea kwa JJ Mnyika najua ni kawaida!Kudaiwa na benki ni jambo la kawaida tu na mara nyingi iwapo mkopaji anapitia kipindi kigumu cha mrejesho hukaa na benki yake na kuandaliwa namna ya kufanya.
Hata ikitokea kwa mheshimiwa Lema ni kawaida tu.Nimekuelewa bwashee hata ikitokea kwa JJ Mnyika najua ni kawaida!
Hapa nazungumzia Makatibu wakuu wa Chadema kuwa " Wadaiwa Sugu"We haujawahi kudaiwa maishani mwako ?
Ni kweli, na posho nyingi tu. Kama unapinga thibitisha hapa.Acha urongo bwashee 12m p/m?!
Sijaielewa concern yako ni nini haswa, mikopo ya benki ni sauala la benki na mteja wake wala siyo la chama. Mzee huu umbea unakusaidia nini, mbona zamani ulikuwa unaleta mada fikirishi, unafeli wapi siku hizi? Au ndiyo akili zimeanza kufubaa kutokana na umri mkubwa?Hapa nazungumzia Makatibu wakuu wa Chadema kuwa " Wadaiwa Sugu"
Mtu yoyote anaweza kuwa mdaiwa sugu, pasipo kujali chama chake au nafasi yake. Hao uliowataja kuwa makatibu wakuu hizo ni nyadhfa tu ambazo haziwazuii wao kukopa kwa malengo ya kufanya maendeleo yao binafsi.Hapa nazungumzia Makatibu wakuu wa Chadema kuwa " Wadaiwa Sugu"
Bwashee unaelewa maana ya " Mdaiwa sugu"?Sijaielewa concern yako ni nini haswa, mikopo ya benki ni sauala la benki na mteja wake wala siyo la chama. Mzee huu umbea unakusaidia nini, mbona zamani ulikuwa unaleta mada fikirishi, unafeli wapi siku hizi? Au ndiyo akili zimeanza kufubaa kutokana na umri mkubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani ni mikopo ya Wafanyakazi bwashee?Mtu yoyote anaweza kuwa mdaiwa sugu, pasipo kujali chama chake au nafasi yake. Hao uliowataja kuwa makatibu wakuu hizo ni nyadhfa tu ambazo haziwazuii wao kukopa kwa malengo ya kufanya maendeleo yao binafsi.
jonimbatizaji Nakushauri tu chomoa betri uzi huu.Hapa nazungumzia Makatibu wakuu wa Chadema kuwa " Wadaiwa Sugu"