Je, Katibu Mkuu wa CHADEMA analipwa mshahara? Mbona Dkt. Slaa na Dkt. Mashinji wameondoka wakiwa wadaiwa sugu wa benki?


Kukopa ua kutokopa hakutegemei mshahara wa mtu.
Kuna watu wanalipwa mishahara mizuri tu, lakini bado wanakopa. Pia kuna watu ambao hawalipwi mishahara mizuri , lakini hawakopi.
Kinachomfanya mtu kukopa ni sababu zake mwenyewe hivyo kusihusishwe na kutolipwa mshahara.
 
yule Mashinji alikuwa ni mdaiwa sugu kabla hata ya kuukwaa ukatibu mkuu CDM. ...yule ni mzee wa mishe mishe mjini siku nyingi.
 
Kumbe anakopa kama mjasiriamali !
 
Dr. Slaa alikua analamba 12m kila mwezi, alipewa nyumba na gari mbali na mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. aliharibiwa na ile nyumba yake ndogo....maana ilienda pale kwa mkakati wa u-festi ledi...iliposhindikana Lumumba wakaja na dau maza akalipitisha sasa hivi wanakula bata kwa mrija.
 
We haujawahi kudaiwa maishani mwako ?

Mkuu, usihangaike kuuliza maswal ya maana kwa wasio na uelewa. Mleta mada ameshindwa hata kusema kama madeni hayo ni kabla hajawa Katibu mkuu, au CHADEMA alikuwa mdhamini. Ameshindwa kutambua malengo binafsi ya wadaiwa na ameona "kudaiwa" ni kashfa. Na ndio hawa hawa wanashadidia "tunakopesheka". Hajui hata dhana tu ya "ninadaiwa" imekuwa ni msaada mkubwa wa watu kuwa na finacial discipline.

Nchii hii ina vijana wajinga wengi sana.
 
yule Mashinji alikuwa ni mdaiwa sugu kabla hata ya kuukwaa ukatibu mkuu CDM. ...yule ni mzee wa mishe mishe mjini siku nyingi.
Sasa ilikuwaje mkaajiri mdaiwa sugu kwenye nafasi nyeti kama hiyo!
 
Slaa kwa kiasi kikubwa pesa zake zilikuwa zinaliwa na demu wake yule muhaya mweupe
 
Usimpe credit hajawahi kuwa credible hata sekunde moja huyu jamaa!
 
Makatibu wakuu wawili walioongozana kuwa Wadaiwa sugu ndio kumenifanya niulize!
 
So long as deni la mtu lina jina lake litabaki kuwa lake na ye ndo atakayewajibika nalo mpaka litakapolipwa haijalishi nafasi yake au chama chake kwa wakati huo. Hao uliowataja sasa hivi ni wanachama wa chama kingine, madeni yao hayawezi kufutika mpaka watakapoyalipa licha ya vyama vyao walimo sasa.
 
na nyie imekuwaje mmempokea mdaiwa sugu tena kwa press kubwaaaa!!!
Kama alilipiwa Slaa itakuwa huyu mtaaluma Mashinji!

CCM ni chama kikubwa bwashee na kinasaidia wanyonge wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…