habari jf ,kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili .
Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa wagonjwa kutoka maeneo yao kuja kufika vituo vya afya ,hivyo kufika wakiwa na hali mbaya .
je hakuna haja kwa watu hawa kupewa elimu ya awali ambayo itawasaidia kutambua ni mtu/mgonjwa yupi wa kupelekwa hospitali mapema kuepusha kukaa nao na kufikishwa mahospitalini hali zao zikiwa mbaya ?