Je, katika suala hili naweza kupata mkopo kutoka HESLB

Je, katika suala hili naweza kupata mkopo kutoka HESLB

Emman1985

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
37
Reaction score
44
Poleni na majukumu wadau. Nimehitimu chuo kikuu 2013 BSc. Ed. na kwa sasa naplan kurudi kusoma Medicine. Nikiomba mkopo kuna uwezekano wa kupata? Wenye uelewa katika hili naombeni taarifa tafadhali.
 
Medicine! C utazeekea shule? Kama BaEd hailipi, ingia NIT piga driving after three weeks uko bara barani unapiga Per Diem na magari ya mashirika!
 
Back
Top Bottom