2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
naomba jamani wataalam wa tiba na wana jamii forum mnifahamishe, hivi tunavyoambiwa na madaktari pale tunapoenda kupima ugonjwa wa malaria, utakuta unaambiwa una malaria2 au 3 au 1 inamaana gani. na naskia kuna watu wanaweza kuishi bila kujua kama wanavijidudu vinavyofikia mia tano(500). je wanawezaje kuwahesabu kwenye damu, kwani inakuwa inazunguka mwilini, na yeye kaweka slide tu yenye damu?.