Mwanajumuia Member Joined Aug 22, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Oct 25, 2017 #1 Chama cha NASA, kulingana na kiongozi chake Raila, kimekuwa chama cha mapinduzi (resistance movement). Mimi naona ni kama Raila anataka kufanya kama Museveni alivyofanya hapo awali. Mwaonaje? Link: Nasa now a resistance movement, says Raila Raila atawaambia wafuasi wake jambo gani? ...
Chama cha NASA, kulingana na kiongozi chake Raila, kimekuwa chama cha mapinduzi (resistance movement). Mimi naona ni kama Raila anataka kufanya kama Museveni alivyofanya hapo awali. Mwaonaje? Link: Nasa now a resistance movement, says Raila Raila atawaambia wafuasi wake jambo gani? ...
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Oct 25, 2017 #2 Kwenyu ni Kwenyu