Je Kesho atasema nini huyu mtoto?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
3,050
Reaction score
656

Haya ndio maisha ya mtanzania wa leo je kwesho atamlaumu nani?
 
Fafanua mkuu, picha inasema mengi hapo lakini swali lako linalenga wapi?
 
Tunataka watoto wengi kama hawa ambao wataichukia CCM kutoka mioyoni mwao
 
hapa hii picha hakuna cha kufafanua angalia mtoto wa Tanzania ambayo inafikiasha miaka 50 ya Uhuru.Je Kesho akiwa mkubwa atamlaumu nani? Angalia maisha yake yanabeba sura ya Watoto wote wa kitanzania wenye maisha magumu.
Fafanua mkuu, picha inasema mengi hapo lakini swali lako linalenga wapi?
 
Wakisoma na wao hawawezi kuja kuwa mafisadi maana watasema nao serikali haikuwajali
Tunataka watoto wengi kama hawa ambao wataichukia CCM kutoka mioyoni mwao
 
Sad ila wazazi inabidi wawafunze watoto wao, na pia kuwapatia ndala etc
 
Ndala wakati umeme, madawa ,kodi ya nyumba, malazi, mavazi na mengine yanamsubuiri. Wazazi wanajitahidi sana sema ndio hali ni ngumu kwa walala hoi
Sad ila wazazi inabidi wawafunze watoto wao, na pia kuwapatia ndala etc
 
Sad ila wazazi inabidi wawafunze watoto wao, na pia kuwapatia ndala etc

Mkuu mzazi atapata wapi muda wakati anahangaika na kuuza kashata apate hela ya kununua nusu na robo ili wapate hata uji.

Ndala ni anasa tumbo kwanza.
 
Hawa ndio wanao taabika kwa maamuzi mabovu kama vile Dowans...!

Unafikiri viongozi wetu wanaona haya? Wao wapo bussy kule Kempiski wanafikiria the next move ya kuibia serikali...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…