Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Nauliza hivi maana ake ni rare sana mtu akakushauri au mtaalam akakushauri uende hospital hii.
Wala sidhan kama ugonjwa ukiwa shinda wana kureffer hapa. Hii inazidi kunipa maswali mengi.
Ingawa inasomeka kama infection disease Hospital lakini Ukipitia website zao wanazungumzia TB tu na kua inatoa huduma za kawaida kwa watu wanaoizunguka.
Madakitari wazoefu nipeni majibu?
Wagonjwa wa infection zote sugu wanapelekwa huku?