zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
- Thread starter
-
- #21
mkuu kutapeliwa sio kazi ndogo....ndo ninacho katavkuajiliwa asa mwez wote ndugu yangu uweke laki 2 utafika kweli haya maisha???, kuna mambo ya kufanyia hiyo sent yako ndogo na ukajipatia mamilion mpaka unashangaa!!! n pm, nkwambie nn cha kufanya, kama una roho mchafu atakae kwambia nataka nkutapeli kaa kimyaa
tehehehe kwa maana hayo majanga ni kikwazo kwa kibubu mkuu au nimekuelewa vibayaNakumbuka zamaaani sana kulikuwa na kawimbo kamoja hivi kanaimbwa '...moto,mwizi,maji na majanga mbalimbali...' hahahahahahahahaha!
Ndo mana'ake!tehehehe kwa maana hayo majanga ni kikwazo kwa kibubu mkuu au nimekuelewa vibaya
karbuumkuu kutapeliwa sio kazi ndogo....
mkuu ntaku PM
kiongozi hii sijakusoma vizuri ni kitu gani kiongozi??Mimi nimejaribu hii hapa chini toka mwezi wa mwanza..ila sasa vyuma vimekaza nilipofika mwezi wa saba nikaanza kupumulia mashine, kwa hiyo nina deni la mwezi wa nane na wa tisa..du.. ila i hope nitafanikiwa lazma nikamilishe kila mwezi na december ikifika niwe na hiyo amount.. nimetengeneza kibubu cha chuma kabisa ambacho siwez kukifungua hadi kupeleka kwa fundi welding. Ukiangalia hapo kila wiki inaongezeka 3000..
View attachment 603224
Aweke bank ni best optionkwani chuma huwa kinaunguaga?
ok ila hzo ni dharula za kufikirika mana hata upande wa benki pia kuna dharula zake ambazo ukifikiria huwezi weka pesa huko ila kwa kuwa huwezi kusitisha kawaida kwa sababu ya dharula hata siku moja...
yani useme chooni siendikwa sababu naweza tumbukia shimoni...[emoji1]
hyo kitu ya kuweka vikwazo kama hvyo haiko poa..
miss chagga embu leta maujuzi yako na maoni ili tupeleke taifa...
nipe mchango wako muhimuuu
umenena matamu
ahsantekarbuu
Karibu mkuuumenena matamu
amani ya mwenyezimungu iwe nanyi wadau
naombeni ushauri baba kaka dada na rika zangu ambao naamini mnayajua maisha kuliko mimi,... kwa mshahara ninao pokea kwa mwezi nauwezo kwa suisave laki mbili ikawa haina matumizi ya lazima..
wadai ipi njia bora kati ya kibubu au benki??
lengo idundulizwe japo mwaka kifanyike cha maana..
karibuni kwa michango yenu wakuu
nashkuru sana ila kama umeniacha kimtindo hivi hyo kibubu account yapatikana benki huko ama vipi kiongozi?kama unaweza save laki mbili ni bora ukafungua kibubu account kwa maana unaweza weka iyo laki mbili kila mwezi kweny account yako ya kibubu(hii ni kama fixed account tofauti ni kwamba fixed unaweka at lump sum lakini hii unaweka kiasi kile kile kila mwezi kama ni laki kwa miezi 12 utakatwa laki kila mwezi kwa miezi yote iyo)
note: rate the fixed sasa hivi sio rafiki sana hivo huwezi pata faida kwa kiasi icho kidogo cha fedha, na hata iyo kibubu hakina rate nzuri sana lakini itakusaidia fikia malengo yako kwa iyo kipindi ulichokipanga.......................
nakutakia kila la heri mkuu
Boss uyo jamaa kasema ukiweka fixed kuna kushika kwa hisa sasa bora uchonge kibubu chako ili mradi usiwe na tamaamkuu maneno yako yapo kikubwa zaidi ebu nieleze kwa uwazi kabisa mkuu ili tupate mafaida kem kem
kiongozi nashkuru mnooKaribu mkuu
mungu akurehemu sanaKaribu mkuu
Ungekuwa na access na Saccos nzuri ungejiunga hapo. Unaweka ila pia inazaa.amani ya mwenyezimungu iwe nanyi wadau
naombeni ushauri baba kaka dada na rika zangu ambao naamini mnayajua maisha kuliko mimi,... kwa mshahara ninao pokea kwa mwezi nauwezo kwa suisave laki mbili ikawa haina matumizi ya lazima..
wadai ipi njia bora kati ya kibubu au benki??
lengo idundulizwe japo mwaka kifanyike cha maana..
karibuni kwa michango yenu wakuu
nashkuru sana ila kama umeniacha kimtindo hivi hyo kibubu account yapatikana benki huko ama vipi kiongozi?
kiongozi nashkuru kwa mawazo yako na ufafanuzi hapo juu...Boss uyo jamaa kasema ukiweka fixed kuna kushika kwa hisa sasa bora uchonge kibubu chako ili mradi usiwe na tamaa
Mpigajindo ninacho katavkuajiliwa asa mwez wote ndugu yangu uweke laki 2 utafika kweli haya maisha???, kuna mambo ya kufanyia hiyo sent yako ndogo na ukajipatia mamilion mpaka unashangaa!!! n pm, nkwambie nn cha kufanya, kama una roho mchafu atakae kwambia nataka nkutapeli kaa kimyaa
yaap kama vile nlivo mpigaga mama ako c unakumbuka!!Mpigaji