Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Nov 30, 2024 #1 Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani?
Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani?
N norble gas Senior Member Joined Sep 10, 2024 Posts 146 Reaction score 231 Nov 30, 2024 #2 Mshuza2 said: Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani? Click to expand... Lengo lako lakumeza hiyo diazepam ni ninini? Je umeandikiwa na daktari?
Mshuza2 said: Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani? Click to expand... Lengo lako lakumeza hiyo diazepam ni ninini? Je umeandikiwa na daktari?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Nov 30, 2024 #3 Unatakiwa usinzie.Ndiyo ilivyo.
Megalodon JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,534 Reaction score 7,866 Nov 30, 2024 #4 Mshuza2 said: Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani? Click to expand... Unataka kwenda kumfanyia uhalifu binti gani? Au Lengo lako ni lipi mkuu 🤣
Mshuza2 said: Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani? Click to expand... Unataka kwenda kumfanyia uhalifu binti gani? Au Lengo lako ni lipi mkuu 🤣