Elections 2010 Je? Kikwete anaweza kuwaagiza watanzania wasiwapigie kura wanaotoa rushwa?

Elections 2010 Je? Kikwete anaweza kuwaagiza watanzania wasiwapigie kura wanaotoa rushwa?

Hekima Ufunuo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
220
Reaction score
11
Heshima Mbele wakuu.

Natafakari hili, JK alisaini sheria ya rushwa ya uchaguzi hadharani na kwa mbwembwe sana akitangazia ulimwengu kuwa ana dhamira ya dhati ya kupambana na rushwa katika taifa hili na hasa kwenye uchaguzi huu.

Je? anaweza kusimama kwenye kampeni zake kama mgombea au kama Raisi wa nchi na kuwambia wananchi wasiwachague wote waliotoa rushwa????????
 
Hilo haliwezi kwa sababu ni kuwaambia wapigakura hata yeye jk wasimchague kwani unafikiri hao mafisadi wanafanya hizo dhambi kwa maelekezo ya nani?
 
kwani yeye mjinga? Anajua kuwa akitamka hatapata hata mbunge mmoja
 
Back
Top Bottom