Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena katika kudumisha Uzalendo ambao kwa Kizazi hiki cha sasa Umepotea ulipaswa uipongeze hiyo Radio ( Clouds FM ) kwani inafanya Jambo jema na la Kizalendo haswa kwa kila Siku Saa 1 Kamili za Asubuhi kuupiga huo Wimbo wa Taifa.Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu. Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga. Je ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
Aisee 😂
😁😁🙌Huu uzi bila picha hamna kitu
Picha ya wimbo au radio mkuu?
Ongezea na amri ya kila mtu kusimama popote alipo hadi wimbo uishe pale kila radio inapoupiga. Ingependeza zaidi.Tena katika kudumisha Uzalendo ambao kwa Kizazi hiki cha sasa Umepotea ulipaswa uipongeze hiyo Radio ( Clouds FM ) kwani inafanya Jambo jema na la Kizalendo haswa kwa kila Siku Saa 1 Kamili za Asubuhi kuupiga huo Wimbo wa Taifa.
Na kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna Watu wengine Walisahau hata Kuuimba ila kwa sasa baada ya Kuusikia kila Siku unapigwa wameweza Kuukumbuka na Wanauimba vyema kabisa.
Tena ingekuwa ni Amri yangu ningeomba Redio zote zilazimishwe Kuupiga Wimbo wa Taifa ili kila Mtanzania wa kila Rika awe anauimba na Kuufurahia pia kwani ni Wimbo ambao unapandisha zaidi Morali ya Uzalendo ya Utanzania.
Achana nao hao wanakuzingua😅Picha ya wimbo au radio mkuu?
Ngoja nimsaidie