Je, kila Taifa lina shetani wake analiongoza?

Kuna vita za nguvu mbili tu ulimwenguni, wema na ubaya. MUNGU kakupa mamlaka ya kuushinda ubaya kwa wema, Hiyo nguvu ya kuushinda wema inatoka kwa kwa mwingine. Unapoushinda wema kwa kutumia ubaya maana yake ni kuwa yule mwingine amekuwezesha na umeshinda. Unaposikia kuwa palikuwa na vita mbinguni maana yake ni kuwa wapo walioamini wanauwezo wa kumwangusha MUNGU. Na mawazo ya kupigana na MUNGU mbegu yake huanzia hapo hapo kwenye swali ulilouliza la MUNGU anaweza kweli? Ukishajiuliza uliza kinachofata yule anayetoa nguvu za kuushinda wema atakupa nguvu za kutosha na utashinda.
 
Kwa hivyo kuna viumbe wanaoweza kushindana/kupigana na MUNGU no matter they win or not!?
 
Hata Shetani mwenyewe ni ushairi tu, hayupo. Ni tungo za watu tu.


Mungu aliyeandikwa kwenye hivi vitabu kama Biblia na Quran pia hayupo.

Ni hekaya za watu tu.
Toa ushahid kama Mungu hayupo? Shetani hayupo na chanzo cha tungo hzo?
 
Unaamin vip kuna blackholes? Imani yako imeishia kwa vitu vinayoonekana tu kwasababu unamacho? Vip UNGEKUWA KIPOFU ungeamin wapo watu wenye macho?


NB: kama kuna viumbe vinavyoonekana,basi vipo visivyoonekana, pia.

Kiranga
 
Unaishi miaka 500 iliyopita,subir basi hadubin ya kuangalia pepo igundulike,ununue ndio uone,maana kwaakili yako ni wazi unaamin kwa kuona,na kwasababu unamacho.

Unafikiri kipofu anahaja ya kubisha hakuna virus kwasababu hata akipewa microscope aangalie hawezi ona? Ataaamin kwasababu ya matokeo yake,


Imeandikwa "kama hamniamin mm,basi aminini kazi zangu(matokeo yake)"
 
heri ya mwaka mpya mkuu!
 
Hata Shetani mwenyewe ni ushairi tu, hayupo. Ni tungo za watu tu.


Mungu aliyeandikwa kwenye hivi vitabu kama Biblia na Quran pia hayupo.

Ni hekaya za watu tu.
Sasa katika kanisa katoliki pale St. Francis ulikuwa unafuata nini enzi zile unasali na Nyerere!!?
 
Hapa Harudi umegonga palepale😂😂
 
Sasa katika kanisa katoliki pale St. Francis ulikuwa unafuata nini enzi zile unasali na Nyerere!!?
St. Francis alipokuwa anasali Nyerere ndiyo wapi hapo?

Wewe mwenyewe unajua unachoandika au unabiringita kama nyungunyungu bila kutumia ubongo wala uti wa mgongo?
 
St. Francis alipokuwa anasali Nyerere ndiyo wapi hapo?

Wewe mwenyewe unajua unachoandika au unabiringita kama nyungunyungu bila kutumia ubongo wala uti wa mgongo?
Mzee ni kumbukumbu tu zinatupotea sometimes lakini kuna uzi humu unazungumzia kanisa ambalo alikuwa anasali Nyerere sikumbuki lilitajwa kanisa la St Francis au St peters(sikumbuki hasa Nyerere alikuwa anasali wapi) ..lakini ulisema umesali naye,Turudi kwenye mada umesema Mungu hakuna sasa swali langu lilikuwa ni kukuuliza huko Kanisani ulikuwa unafuata nini? Au kumshangaa Nyerere enzi hizo anaudhuria misa St Francis/St Peters..??
 
Hata Shetani mwenyewe ni ushairi tu, hayupo. Ni tungo za watu tu.


Mungu aliyeandikwa kwenye hivi vitabu kama Biblia na Quran pia hayupo.

Ni hekaya za watu tu.
Mkuu una maana ushirikina haupo au siyo?
 
Mungu anasema nalimtuma Mfalme wa Babeli mtumishi wangu Nebukadneza awatie mikononi mwake.

Kumbe yale aliyowafanya waisrael mr Nebkadineza haikuwa dhambi kwani alitumwa na Mungu kuwaadhibu wayahudi waliokengeuka.

Kimsingi Mungu na Shetani wanapendana sana na wanaelewana. Sisi ndio hutaka kuwatenganjsha
 
Hizi madhabahu zinatawaliwa na majeshi ya kipepo (wawakilishi wa shetani maana shetani ameshafungiwa kuzimu). Kazi kubwa ya hawa mapepo au "wakuu wa giza" ni kupinga au kuzuia baraka za wanadamu zinazotoka kwa Mungu "Efe 6:10-13".
Kwahiyo Mungu analet baraka shetani anazuia? Basi huyo shetani ana nguvu kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…