Je kilimo cha kokoa Tanzania kipo vipi?

Je kilimo cha kokoa Tanzania kipo vipi?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo Cha kokoa na wataalamu wa kilimo hiki
 
Muheza maeneo ya mashewa.

Morogoro maeneo ya muhonda mpaka milima ya unguu mpaka mdela huko,na maeneo ya safu za milima ya uluguru na maeneo ya mbingu pia

Mbeya vijiji vinavyopatikana katika wilaya ya kyela.

Kwa kuanzia hiyo ndiyo ramani ya kilimo cha kokoa Tanzania.
 
Miche inachukua muda kuanzia kupanda mpaka kuvuna ?
 
Muheza maeneo ya mashewa.

Morogoro maeneo ya muhonda mpaka milima ya unguu mpaka mdela huko,na maeneo ya safu za milima ya uluguru na maeneo ya mbingu pia

Mbeya vijiji vinavyopatikana katika wilaya ya kyela.

Kwa kuanzia hiyo ndiyo ramani ya kilimo cha kokoa Tanzania.
Asante boss na soko lake lipo vipi?
 
Back
Top Bottom