Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

mzee kwan kusema ukweli ndo kuwa na chuki? acha uoga
Ww nakujua sana humu jf kwa chuki zako na Uislamu yni unachuki na Uislamu utadhani izo chuki zko ndo chakula kwako
 
Naamini hata Ukristo nao labda ni ruksa.. labda itabakia kwa wazazi kutupa baraka zao kama uhusiano huu utafikia hatua hizo
Ukristo gani unaruhusu binamu kuoana? Tena ukiondoa warangi na watu wa Pwani makabila mengine ukitaka kuwa na mahusiano na binamu au ndugu yeyote basi jiandae kuonekana nuksi kwenye familia. Yani utakuwa unasemwa kila siku!
 
Ukristo gani unaruhusu binamu kuoana? Tena ukiondoa warangi na watu wa Pwani makabila mengine ukitaka kuwa na mahusiano na binamu au ndugu yeyote basi jiandae kuonekana nuksi kwenye familia. Yani utakuwa unasemwa kila siku!
Kaka sijui kama umsomaji mzuri wa bibilia ila kuna visa vingi kutoka kwa jamii ya walioamini ambao walioa binamu zao. Mfano mzuri ni yakobo alieoa binamu zake wawili.. na tusisahau Yakobo ndio aliitwa Israel na uzao wake ndio uzao hata Kristo anapokuja kutokea..
Ila hio ni kiimani.. zaidi haya maswala ya ndoa yana pande nyingi sana si swala la imani yako tu.. ila jamii yetu ina mtazamo gani au desturi zetu ziko je hivyo ndivyo vitu natamani zaidi kufahamu kuliko kuhusu dini na ndoa
 
... pitia hiyo chart kwa umakini. Ni uchafu kabisa sio tu kuoa bali kuwa na mahusiano ya kingono na yeyote kwenye hiyo chart! Hao ni ndugu zako wa damu!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…