Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

Tatizo unaposema "kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika" unaweza usipate majibu halisi maana mila na tamaduni zinatofautiana kati ya kabira na kabira
 
Ila mbona Maryatul Qibtiyya hakua mtumwa?
Aliletewa zawadi awe ni kijakazi?
Hii sasa ni nje ya mada, ila kwa reference gani madai yako?

Asiekua Mtumwa unawezaje kumtoa kama zawadi?
 
Usitake kuhalalisha na dhambi na kuikribisha laana kwenye familia yako.
Binamu ni dada kabisa na uo ukweli unaujua mama yake na baba yako wametoka kwenye tumbo na viuno vya wazazi wamoja..
Acha io kitu kijana.,Na hakuna mila wala desturi inayokubaliana na ilo jambo.
 
Waswahili Wanasema binamu nyama ya hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…