Muda mfupi sana tangu Mzee Kinana ajiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara, pametokea mambo mazito yenye kuchafua 'sura' ya nchi. Hapa nazungumzia utekaji, utesaji na mauaji.
Najiuliza huyu Mzee alinusa maandalizi ya matukio haya?
Maana hata kujiuzulu kwake Kulikuwa kwa ghafla na kwanamna iliyotofauti na watangulizi wake kama Mangula.