Je, Kinana ni mzalendo?

Kinana si mzalendo ila ni immortal as declared by idot wa kisambaa
 
Mbona hakuna shida mkuu. Ni kama Mzee alivyokuwa na kampuni ya ujenz tu. Ishu ni kwamba kila kitu kinafanyika kwa utaratibu wa sheria?
Dah.....ujinga mmoja haufanyi ujinga mwingine kuwa sawa.... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Dah.....ujinga mmoja haufanyi ujinga mwingine kuwa sawa.... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hapana bro sisi kinachotusumbua ni umasikin wa akili tu. Unaweza kuwa na kampuni na ukawa kiongoz na nchi bado ikaenda bila kuvunja sheria. Shida ninayoiona ni watz wengi wana roho za kimasikin sana. Anaona kwanini wewe. Kuna mtu mmoja anaweza kuwa mkurugenz side A na akaenda kuwa mjumbe side B bado akapata tenda na kaz zikaenda kampuni nyingi tu wao wanachoangalia uwezo wako sio pesa. Na hii ndio chuki iliyomfanya Magu kumfukuza kaz Nehemia Mchechu.
 
Dah..... Hiyo kitu haiwezekani....Hivi kweli inaweza kuwa unauza majenereta wakati huohuo ukapewa dhamana ya kusimamia nishati? Au ukapewa mamlaka ya kusimamia reli huku ukiwa na maslahi kwenye usafiri wa barabara? Tusidanganyane banaa 😊
 
haya mambo kama huyajui utapigwa fix sana yani ukweli kidogo unavalishwa uongo kufikia lengo la fanani...eti kwamba Sunda alipewa kitalu na utajiri wake umetokana na Sumaye!?
Sunda alibebwa sana na Sumaye kwasababu ya kabila lake aliuziwa hadi Mt Meru Hotel kwa bei ya kutupa.
 
Hakunaga copy ya ya kipaji ! Nimeipenda hii sentensi !!
 
MTU azaliwe Tz halafu useme uraia wake nini?..nyinyi mna tofauti gani na Wale waliokuwa wanamtukana Obama kuwa sio Mmarekani
Ujinga ni mzigo !! 😅😅. Hata Obama wahafidhina wa kule walidai kuwa haiwezekani awe Rais maana hakuna uhakika kwamba alizaliwa Marekani, lakini baadae ushahidi wote ulionyesha alizaliwa marekani !! Uraia wa mtu unaanzia pale mtoto alipozaliwa sio uraia wa wazazi wake !! Hizo ni sheria za kimataifa isipokuwa kwa baadhi ya nchi chache sana zenye mambo ya kona kona nyingi ! Abracadabra !!!
 
Mgongano wa kimaslahi huwa ndio tatizo kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…