Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

Kwamba ukiwa na kipaji huwezi kupata elimu?

Na kwanini usipate elimu inayo compliment kipaji chako?

Either way mwenye kipaji cha kitu fulani ana uwezo wa kumzidi yule mwenye elimu ya kitu kile ila hana kipaji au mwenye kipaji ambacho hakijaendelezwa hana tofauti na yule asiye na kipaji...., Talent is no substitute for hard work
 
Hata kusoma mpaka kupata iyo elimu ni kibaji mkuuu maana kuna sisi la tatu B tulipoona hesbau za 2x2=4 na 2+2=4 tukatoka nduki .....
 
Kipaji kinakupa eneo la kutawala Ila elimu inakupa eneo la kwenda kufanya kazi

Kipaji ni kwenda extra mile ya kile mwenye elimu huishia.

Kuhusu kulipa

Hapa itategemea namna gani unaongeza value katika eneo lako

Mfano Prof Janabi pesa yake anayopata ni kubwa Sana hata Azizi K hawezi kuipata.

Hivyo Kupitia Elimu ukitengeneza value utalipwa Sana the same kipaji ukitengeneza value utalipwa Sana .


So nahitmisha ni vizuri MTU ukapambania kitu ambacho kitakupa thamani (value )iwe. Elimu au kipaji
 
Elimu ni ufunguo wa maisha : hapa hapana budi kuielewa vema falsafa hii ya wahenga. Na kipaji ni talanta yenye kutoa ramani ya maisha yako. Kwa mtazamo wangu, kipaji na elimu, ni Sawa na Chanda wawili katika safari ya kuitafuta Kesho yako iliyo bora endapo utawatumia vyema.
Nawasilisha..
 
Ayaaa chama ndo huyoo qnapokea zaidi ya mil 20 na mwalimu ndo huyoo qnapokea sio juu ya laki 7. Ko mchangue nyie sasa kipi ni kipi
 
Kwa sasa Elimu inalipa sana Mimi Mwenye bila elimu nusingeweza kusoma Hii mada😐
 
Shida ilipo ni kwamba elimu yetu inabana kipaji. Ili ufaulu lazima ukaze sana na shule, huu muda kubalance na vitabu makubwa kama BS, abbott, lambert hutoboi.....wengi tuliishia kushika vtabu na vipaji vikaenda zakee....angalau sahivi mambo yapo tofauti kidogo hata vipaji vinaonekana kirahisi na inabaki kwa muhusika mwnyw kuchagua asuke au anyoee
 
Back
Top Bottom