07SamsonMartin
Member
- May 31, 2025
- 17
- 6
Ndo nafikiria kiongozi niende diploma au A level??Wewe kwani umepanga ufanye nini?
Nenda diploma in radiology hutojutia..Ndo nafikiria kiongozi niende diploma au A level??
Sawa nashukuru Kwa ushaur wako.Nenda diploma in radiology hutojutia..
Anh sawa ahsante. Ila sijajuah kama radiology Ina lipa vizuriKAma unaogopa kwenda Radiology kisa Biology,
mimi nakushauri nenda Tuu huko Radiology, Biology ni rahisi ukiipenda na uzuri ukifika chuo ni kama unaanza upa
🤣🤣 Amnah typing error kiongozUnaomba kuwakilisha au sio
Amnah au sio 😁🤣🤣 Amnah typing error kiongoz
Hahah saw kiongozAmnah au sio 😁
Anyway, swali lako linasemaje? Rudia kuuliza nikupe madini
Sawa. Ila kozi gan nzur ya diploma ukiachana na radiologyNenda diploma nshamaliza
Ulisoma fizikia ? Ila radiology mbona iko poaSawa. Ila kozi gan nzur ya diploma ukiachana na radiology
"Ila nafikuria kusoma diploma ya radiology ambayo ajira yake ni uhakika Kwa upande wangu pia maslahi yake ni mazuri"Hahah saw kiongoz
Ni Bora kwenda diploma au A level?
Ndyo nmesoma. Anh sawaUlisoma fizikia ? Ila radiology mbona iko poa
Clinical mbona Ina watu wengi sana naona !
Anguka nayo radiologyNdyo nmesoma. Anh sawa