Hakuna kitu Kama hichoOmba chuo kwanza maana kule kwenye mkopo utaulizwa chuo unachoenda kusoma/chuo ulichochaguliwa kama sikosei
ufafanuzi kama huu unahitajika sana kwa watu wenye uhitaji.Maombi ya chuo raundi ya kwanza SI yamefungwa okay jibu ni Kuwa unaomba chuo na mkopo kwa pamoja mkuu then unasubli majibu ukishachaguliwa na chuo wanatuma jina lako BODI ya MKOPO Kama unasifa ya kupata mkopo wanakupa ila kigezo cha kwanza cha kupata MKOPO ni mpaka uwe umepata chuo
So ni unaomba pamoja na unatulia kusubir majibu na sio uombe chuo ndo uombe mkopo Kama siku zipo sawa unaweza subr upate chuo ndo utume maombi ya mkopo