Je kipi kinamfanya msanii kuwa international?

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
jamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha mawazo yenu
 
Kula mzigo wa nje ya nchi hiyo nayo ni ya kimataifa (international).
 
jamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha mawazo yenu

Kufanya vituko kama vile kutembea uchi barabarani, kubaka vijusi, kufanya ujinga kama wa mastaa uchwara wa bongo muvi, kuvuta sana bangi na kujifanya hauna akili timamu, utatoka tu. Bila kusahau, kuroga ama uchawi unahusu pia, ulizia baadhi ya mastaa wa kanda ya magharibi ambao wanatamba kwa sasa hapa Bongo watakuambia kuhusu hii kitu.
 
Ni kupiga show za ughaibuni kama Shilole.
 
Msanii wa kimataifa anatakiwa awe hivi.
1.Nyimbo zake zinachezwa na radio/tv za kimataifa,na ziweze kushika nafasi za juu.
2.Kupata tuzo zinazotambulika kimataifa.(sio zinazoishia kenya na Ug)
3.Kupata shoo za majukwaa ya kimataifa (hata ukiwa peke yako huweze kujaza)
4.kukubalika na wasanii wa kimataifa na kuweza kufanya kazi nao.
5.Nyimbo zako kuweza kuuzwa na mitandao ya kimataifa.(sio ili mradi zipo huko tu,ila zishindane kimauzo na wakimataifa wenzako)
6.Uwe na muonekeno wenye hadhi ya kimataifa.
Na mengine mengi tu.
 
pa muonekano umenikosha maana waweza kua na sifa zote ila muonekano huna
 
Msanii wa kimataifa anatakiwa awe hivi.
1.Nyimbo zake zinachezwa na radio/tv za kimataifa,na ziweze kushika nafasi za juu.
2.Kupata tuzo zinazotambulika kimataifa.(sio zinazoishia kenya na Ug)
3.Kupata shoo za majukwaa ya kimataifa (hata ukiwa peke yako huweze kujaza)
4.kukubalika na wasanii wa kimataifa na kuweza kufanya kazi nao.
5.Nyimbo zako kuweza kuuzwa na mitandao ya kimataifa.(sio ili mradi zipo huko tu,ila zishindane kimauzo na wakimataifa wenzako)
6.Uwe na muonekeno wenye hadhi ya kimataifa.
Na mengine mengi tu.
Safi sana maana mzee wa Tembo sioni sifa inayombeba.
 
jamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha mawazo yenu
Msanii ili awe international ni lazima awe na Mganga mkali sana
 
Back
Top Bottom