enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
jamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha mawazo yenu
pa muonekano umenikosha maana waweza kua na sifa zote ila muonekano hunaMsanii wa kimataifa anatakiwa awe hivi.
1.Nyimbo zake zinachezwa na radio/tv za kimataifa,na ziweze kushika nafasi za juu.
2.Kupata tuzo zinazotambulika kimataifa.(sio zinazoishia kenya na Ug)
3.Kupata shoo za majukwaa ya kimataifa (hata ukiwa peke yako huweze kujaza)
4.kukubalika na wasanii wa kimataifa na kuweza kufanya kazi nao.
5.Nyimbo zako kuweza kuuzwa na mitandao ya kimataifa.(sio ili mradi zipo huko tu,ila zishindane kimauzo na wakimataifa wenzako)
6.Uwe na muonekeno wenye hadhi ya kimataifa.
Na mengine mengi tu.
Safi sana maana mzee wa Tembo sioni sifa inayombeba.Msanii wa kimataifa anatakiwa awe hivi.
1.Nyimbo zake zinachezwa na radio/tv za kimataifa,na ziweze kushika nafasi za juu.
2.Kupata tuzo zinazotambulika kimataifa.(sio zinazoishia kenya na Ug)
3.Kupata shoo za majukwaa ya kimataifa (hata ukiwa peke yako huweze kujaza)
4.kukubalika na wasanii wa kimataifa na kuweza kufanya kazi nao.
5.Nyimbo zako kuweza kuuzwa na mitandao ya kimataifa.(sio ili mradi zipo huko tu,ila zishindane kimauzo na wakimataifa wenzako)
6.Uwe na muonekeno wenye hadhi ya kimataifa.
Na mengine mengi tu.
Msanii ili awe international ni lazima awe na Mganga mkali sanajamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha mawazo yenu