GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nadhani yatupasa tusimlaumu wala kumsema vibaya Bondia Selaman Saidi kwa aibu ya Kufungia mwaka aliyotupa Watanzania jana pale nchini Saudi Arabia bali badala yake nadhani Watanzania wote hasa kwa Serikali kupitia Waziri wake Hamis Kigangwala wanatakiwa wamuandalie Mapokeza makubwa sana ambayo tokea Historia ya Tanzania hayajawahi Kutokea.
Jana huyu Bondia Seleman Said nina uhakika kwa Kipigo cha Kimakusudi kabisa na Kujiangusha Kwake vile Kizembe huku akijua kuwa tayari ameshaingizwa ‘ Mtonyo ‘ katika Akaunti yake na Kambi ya Mpinzani wake atakuwa ameshakuwa Gumzo duniani na ‘automatically‘ Tanzania hapo imetambulika Kimataifa hivyo Watalii sasa watakuwa wanakuja wa Wingi kukutana, Kuwacheka na kuwashangaa akina Selemani Said (Wazembe na Goigoi) wengine tuliopo hivyo itaongeza Pato katika Sekta ya Utalii nchini.
Mimi alichoniacha hoi tu huyu Bondia alipoanguka tu alilala chini muda mwingi akijifanya Kaumia lakini aliposikia tu Mwenzake katangazwa Mshindi akaamka haraka na kuanza Kucheka huku nikiwa naangalia Jeraha lolote Usoni mwake sikuliona ndipo nikajua kuwa jana Watanzania tumefanywa ‘Mazuzu‘ na Yeye.