Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu angalia haina ya kipimo!Jiandae kulea mtoto nakushaur mwite swalehe kama wa kike mwiite numbisa
Mmm? Hiki cha HIV na sio Mimba.Jiandae kulea mtoto nakushaur mwite swalehe kama wa kike mwiite numbisa
Tayari mkuu
Mimi naona ni mstari mmoja ambao unaashiria negative, kwani Daktari wako kakwambiaje?
Ahsante sana mkuuHayo majibu maana yake hauna maambukizi ya ukimwi, yaani ni Negative.
Kama utaona mistari miwili ndio maana yake Positive au umeambukizwa.
Ni kama kipimo cha wajawazito, ukiwa mstari mmoja manake hauna mimba (huo mstari mmoja unaitwa control line) na wa pili ndo unaosema positive.
Ikiwa mistari mitatu majibu yako yameharibika / ni batili.
Hongera na endelea kujitunza ili usipate maambukizi ya ukimwi.
Mdudu wa malaria ni mkubwa kwa hiv lakini watu wanatumia hadubini ila wa hiv ni mdogo mara milioni kwa malaria ma nigger wanatumia kakipimo kadooogo tu hivi? Hako kakipimo kanafanyaje kazi?Sio kitu kizuri hata kidogo.....
Maana malaria inapimwa kwenye microscope na mdudu wa malaria unamuona, na magonjwa mengine hivyo hivyo. Ila huyo mdudu anaeitwa HIV ndo amegoma kabisa kuonekana!!!
Anapimwa kiujanjaujanja tu...
Siku tukishtuka kutoka kifungoni tutaishi na amani sana
Hata mimi ndio najiuliza, yaani kwa jinsi huu ugonjwa ulivyokuzwa na kupewa tishio, eti ndio upimwe kwa kipimo kama hicho kisichokua serious hata kidogo....Mdudu wa malaria ni mkubwa kwa hiv lakini watu wanatumia hadubini ila wa hiv ni mdogo mara milioni kwa malaria ma nigger wanatumia kakipimo kadooogo tu hivi? Hako kakipimo kanafanyaje kazi?
Kweli kabisa mkuu Ila kwa sasa watu wanakiamini sana hicho kuliko kupima hospitalini kwa kuwa kila mtu ana hofu mkuu hakuna anayejiamini kwa hivyo kinawapa moyo tu .Hata mimi ndio najiuliza, yaani kwa jinsi huu ugonjwa ulivyokuzwa na kupewa tishio, eti ndio upimwe kwa kipimo kama hicho kisichokua serious hata kidogo....
Waafrika tuna haja ya kujiuliza vitu vingi mno ili tuweze kutoka kwenye hivi vifungo visivyo na maana kwa manufaa ya wachache
Nimeelewa mkuuKua makini kjana...
Dont do that again at HOME!
Nakunukuu """IKIWA MISTARI MITATU MAJIBU YAMEHARIBIKA""" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hayo majibu maana yake hauna maambukizi ya ukimwi, yaani ni Negative.
Kama utaona mistari miwili ndio maana yake Positive au umeambukizwa.
Ni kama kipimo cha wajawazito, ukiwa mstari mmoja manake hauna mimba (huo mstari mmoja unaitwa control line) na wa pili ndo unaosema positive.
Ikiwa mistari mitatu majibu yako yameharibika / ni batili.
Hongera na endelea kujitunza ili usipate maambukizi ya ukimwi.