Je, kipimo hiki kina kinaonesha majibu gani?

Kiongozi unajua kuwa kuna watu wanasomea kupima hayo mambo karibia miaka 3,unatakiwa ujue damu unaweka kiasi gani ikiwa whole blood au plasma uweke kiasi gan cha solution/buffer.na kuna pre&post counselling before testing na pia majibu ya mgonjwa ni siri.

Sidhani kama kuna medical person atakupa majibu hapa sio ethics za kazi its better ukaenda kituo cha karibu ukapima kuliko kutumia njia uliyotumia.
 
Hayo majibu maana yake hauna maambukizi ya ukimwi, yaani ni Negative.

Kama utaona mistari miwili ndio maana yake Positive au umeambukizwa.

Ni kama kipimo cha wajawazito, ukiwa mstari mmoja manake hauna mimba (huo mstari mmoja unaitwa control line) na wa pili ndo unaosema positive.

Ikiwa mistari mitatu majibu yako yameharibika / ni batili.

Hongera na endelea kujitunza ili usipate maambukizi ya ukimwi.
 
Ahsante sana mkuu
 
Sio kitu kizuri hata kidogo.....

Maana malaria inapimwa kwenye microscope na mdudu wa malaria unamuona, na magonjwa mengine hivyo hivyo. Ila huyo mdudu anaeitwa HIV ndo amegoma kabisa kuonekana!!!

Anapimwa kiujanjaujanja tu...

Siku tukishtuka kutoka kifungoni tutaishi na amani sana
 
Mdudu wa malaria ni mkubwa kwa hiv lakini watu wanatumia hadubini ila wa hiv ni mdogo mara milioni kwa malaria ma nigger wanatumia kakipimo kadooogo tu hivi? Hako kakipimo kanafanyaje kazi?
 
Mdudu wa malaria ni mkubwa kwa hiv lakini watu wanatumia hadubini ila wa hiv ni mdogo mara milioni kwa malaria ma nigger wanatumia kakipimo kadooogo tu hivi? Hako kakipimo kanafanyaje kazi?
Hata mimi ndio najiuliza, yaani kwa jinsi huu ugonjwa ulivyokuzwa na kupewa tishio, eti ndio upimwe kwa kipimo kama hicho kisichokua serious hata kidogo....

Waafrika tuna haja ya kujiuliza vitu vingi mno ili tuweze kutoka kwenye hivi vifungo visivyo na maana kwa manufaa ya wachache
 
Kweli kabisa mkuu Ila kwa sasa watu wanakiamini sana hicho kuliko kupima hospitalini kwa kuwa kila mtu ana hofu mkuu hakuna anayejiamini kwa hivyo kinawapa moyo tu .
 
Nakunukuu """IKIWA MISTARI MITATU MAJIBU YAMEHARIBIKA""" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Sio kweli kwa hayo Maneno yako.

Hata Mistari Mitatu ni Positive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…